ONDOA KABSA TATIZO LA UUME KUSINYAA, KUSIMAMA LEGELEGE, KUKOSA HAMU YA TENDO AU KUSHINDWA KURUDIA TENDO BAADA YA RAUNDI YA KWANZA


Wanaume wengi wanaopata changamoto hii hawajui hili jambo la uume kusimama legelege au kusimama na kunywea ghafla linatokana na nini.

 Ili uume usimame kuna vitu vingi inabidi viwe sawa katika mwili wako.

Kwanza kabsa mfumo wa hisia zako inabidi uwe sawa.

Pili mfumo wa fahamu.

Tatu, mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, kwani uume husimama tu baada ya damu kukimbilia kwenye uume kufuatia mtu kuhisi hamu ya tendo la ndoa, hivyo hapo kazi ya moyo pia inabidi iwe very active

Lakini pia ili hamu ya tendo ije inabidi mfumo wa hormones za mwili wako uwe sawa yaani ziwe katika uwiano unaotakiwa mwilini.

Mfano kuna hormone inayochochea wewe usikie hamu ya tendo la ndoa, hiyo hormone kama ipo katika kiwango cha chini basi utasikia hamu kwa mbali sana au kutoskia kabsa, hivyo moyo nao hautopata mawasiliano ya kupeleka damu kwenye uume kama inavyotakiwa kwahiyo uume utasimama kwa ulegevu au kutosimama kabisa.

Lakini pia ili uume ufanye kazi vizuri hasa wakati wa tendo inabidi mfumo wako wa misuli uwe vizuri nk.

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo inabidi yawe sawa kwanza ndipo wewe uone mambo yanakuwa swadakta wakati wa tendo!

Kwahiyo tatizo hili ni pana siyo kama watu wanavyofikiri. Na ili kutatua tatizo hili inahitaji kuhakikisha chochote utakachofanya kinakusaidia kuboresha mifumo hiyo ya mwili niliyoielezea hapo juu. 

Shortcut haikusaidii kutatua tatizo la kusinyaa au misuli kulegea. Utajikuta tatizo linazidi kuwa sugu siku ukija kutaka kulitatua sasa unakuta limeshakuwa kubwa kweli.

Unakuwa huna tofauti na mtu anayepata kiupele anakidharau mwisho anakuta ni saratani.Kwahyo usipuuzie lakini pia usipende njia za short cut.

JE NINI SULUHISHO LA CHANGAMOTO HII......

Sasa katika kutatua changamoto hizi, wengi huhitaji kutatua kwa haraka haraka na hujikuta wakiangukia kwenye tiba ambazo sio sahihi ambapo huweza kupata suluhisho la muda na baadae kuishia kwenye matatizo makubwa na kujutia tiba ile.

Wengi wanataka tu shortcut hasa vijana wadogo. Watu wazima wanaelewa kuwa ukitaka kumaliza shida katika maisha usitafute shortcut

Kwetu Sisi tunakusaidia kutatua tatizo lako kwa upana wake yani kwa kugusa maeneo au mifumo yote inayohusika kama nilivyoielezea pale mwanzo.

PATA USHAURI  KUTOKA KWA MTAALAMU KWA KUGUSA MAANDISHI YA RANGI HAPA CHINI, 

GUSA HAPA KUWASILIANA NA MTAALAMU MOJA KWA MOJA 

AU

TUMA UJUMBE WHATSAPP NAMBA 

0742-216182




No comments

Powered by Blogger.