CHANGAMOTO / TATIZO LA MAUMIVU YA VIUNGO
Maumivu ya viungo :- Kiuno, Shingo, Mgongo, Miguu kuwaka moto, kukaza au kukakamaa kwa misuli ni Changamoto kwa wazee, wanamichezo, wenye Uzito mkubwa na wana Gym..n.k
Hii ni kwasababu umri unavyozidi kwenda mwili unashindwa kuzalisha ute ute katika viungio vya mifupa,na hivyo kupelekea misuguano ya mifupa,ambapo husababisha maumivu makali sana na kupelekea mtu kushindwa Kukaa,Kuinuka,Kukimbia au Kutembea Kabisa!!
CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR)
-Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa.
Inaweza kuwa cartilage inalika,upungufu wa synovial fluid(Maji Maji Katika Maungio),maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo Mbali Mbali,Ikiwemo Uzito mkubwa.
Cartilage;Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja,Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.
Athari za ugonjwa huanza taratibu na kuongezeka zaidi,Mgonjwa ataanza kupata maumivu kwenye joint baada ya kufanya shuguli fulani au baada ya mapumziko ya muda mrefu. Joints zitaanza kukaza siku hadi siku,Hasa wakati wa asubuhi unapotaka kuanza shughuli zako za kawaida.
KWANINI UNAENDELEA KUTESEKA NA SULUHISHO LIPO? TUPIGIE SASA / TUMA UJUMBE WHATSAPP NAMBA +255 742 216 182
AU
GUSA HAPA KUPATA MUONGOZO ZAIDI JINSI YA KUONDOA TATIZO


No comments