TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
UTAFITI unasema kwamba katika kila wanaume (10) katiyao wanne (4) ni wahanga wa changamoto ya nguvu za kiume na hii kwa kiasi kikubwa inatokana na hali ya maisha ya kila siku (lifestyle)
Vipo vitu vingi tunafanya kwa kufahamu au kutofahamu kuwa huchangia kuleta changamoto ya nguvu za kiume kwa wanaume wengi sana na changamoto hiyo huwa na dalili zifuatazo;
➡️Kuwahi kufika kileleni
➡️Kukosa hamu ya mapenzi
➡️Kushindwa kurudia tendo la ndoa
➡️Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
➡️Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
➡️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
➡️Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
➡️Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
mwanaume tambua mambo yanayoweza kuathiri uwezo wako katika tendo la ndoa na kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, mambo hayo ni👇👇
1️⃣ Uzito mkubwa
2️⃣ Maradhi Sugu hasa yale yanayohusika na mzunguko mzima wa damu kama presha na sukari
3️⃣ Kukosa muda wa kutosha wa kulala usiku
4️⃣Kujichua
5️⃣Uvutaji wa sigara
6️⃣Unywaji wa pombe kupitiliza
Kama umeathirika tayari na changamoto ya upungufu wa Nguvu za kiume NIKUSHAURI chukua hatua mapema kupata suluhisho ili kuepuka tatizo kuwa sugu na kuweza kufurahia uhusiano wako kwa kufanya tendo kikamilifu.
EPUKA KADI NYEKUNDU.MFURAHISHE MWENZA WAKO MCHEZONI
TUPIGIE SASA / TUMA UJUMBE WHATSAPP NAMBA +255 742 216 182
AU
GUSA HAPA KUPATA MWONGOZO WA KUTATUA TATIZO


No comments