TATIZO LA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU?


 TATIZO LA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU?

Kukosa choo maana yake ni kutokuwa na uwezo wa kwenda haja kubwa kutokana na kinyesi kukusanyikana sehemu moja tumboni na kuwa kigumu na kushindwa kutoka.


Kwa kawaida kinyesi tumboni kinapaswa kutoka kila siku kila baada ya kupata mlo, iwe ni mlo wa asubuhi, mchana au jioni. Hivyo, kila mtu anapaswa apate choo mara 2-3 kila siku. Lakini hali hii inapokosekana, vitu vibaya au vichafu pia huanza kusafiri taratibu na kuingia katika utumbo mpana. Utoaji kinyesi huwa wenye maumivu makali sana pindi mhusika anapoenda chooni kujisaidia, na hivyo sumu hunyonywa tena na kurudi tumboni, na kusababisha mzigo mkubwa katika utendaji kazi wa ini na figo. Na ieleweke kuwa, uchafu wote katika mwili wa mwanadamu unapaswa uondolewe ndani ya masaa 18-24 tu!!


Napenda kila mmoja wetu tuelewe kuwa, matatizo mengi ya magonjwa mbalimbali mara nyingi yamekuwa yakisababishwa na hali ya kukosa choo kwa muda mrefu:


•DALILI ZA KUWA NA TAKA MWILI NYINGI

•Tumbo kujaa gesi, 

•Kichwa kuuma, 

•Kutokwa na harufu mbaya mwilini(Jasho).

•Kutokwa na harufu mbaya mdomoni

•Mishipa ya damu kuwa kukakamaa na kusababisha shinikizo la juu la damu na miguu au mikono kufa ganzi,

•Kuongezeka uzito,

•Maumivu ya kiuno,

•Mwili kuchoka,

•Tumbo kuunguruma Mara kwa mara


JE NINI HUSABABISHA KUKOSA CHOO?

Kwa kawaida tatizo hili mara nyingi husababishwa na ulaji wa vyakula aina zifuatazo:

•Vyakula vilivyokobolewa kama vile, ugali wa sembe, unga wa ngano(maandazi, chapatti, nk)

•Chips mayai na juisi

•Nyama nyekundu(mishikaki, supu, nk)hasa inapoliwa kwa mfululizo)

•Vyakula vilivyosindikwa

•Kutokunywa maji yakutosha

•Kutokula mbogamboga na matunda kwa wingi


Watu wenye umri mkubwa au wazee mara nyingi hupatwa na tatizo la kukosa choo kutokana na mazoea ya kutokunywa maji mengi kwa siku.



DALILI ZA TATIZO 

•Kinyesi kuwa kigumu, kikavu na sio cha mara kwa mara

•Mchafuko wa tumbo

•Mwili kuishiwa nguvu

•Kichwa kugonga/kuuma

•Kukosa hamu ya kula

•Maumivu ya kiuno.


MADHARA YA KUKOSA CHOO

Madhara ya kukosa choo kwa muda mrefu kawaida huwa kama ifuatavyo:

Kuota kinyama sehemu/njia ya haja kubwa yaani Bawasiri(haemorrhoid).

•Kukosa hamu ya kula

Ini na figo kushindwa kufanya kazi vizuri

•Mishipa ya damu kukakamaa au kuwa migumu na kusababisha matatizo ya moyo.

Saratani ya utumbo mpana



USIENDELEE KUKAA NA HILO TATIZO.PATA SULUHISHO SASA KWA KUPIGA/ TUMA UJUMBE WHATSAPP MAMBA +255 742 216 182

AU

GUSA HAPA KUPATA MWONGOZO ZAIDI


No comments

Powered by Blogger.