CHANGAMOTO YA UZITO MKUBWA


CHANGAMOTO YA UZITO MKUBWA

Watu wengi wanafanya mazoezi

Wanenda Gym

Wanaacha kula baadhi ya vyakula

Wanatumia Diet/Program tofautitofauti lakini

Hawapungui na wengine Wanapungua ila wakiacha wanachofanya Mwili unarudi tena Maradufu 

KWANINI/SABABU

Unene unasababishwa na mafuta mengi mwilini...

Mafuta mengi mwilini yanasababishwa na taka mwili/TOXINS kua nyingi mwilini e.t.c .

Taka mwili/TOXINS zinasababishwa na Ulaji/Unywaji mbaya, Kula Unbalanced Diet, Pombe, lifestyle mbaya, mwili kutomeng'enya Chakula vizuri e.t.c

Taka mwili/Toxins zikiwa nyingi mwilini zinashambulia Sensitive internal Organs(Moyo, Maini, Figo e.t.c)

Ili mwili kujilinda unatengeneza mafuta mengi kuzuia Toxins zisifikie Sensitive Internal Organs ndio tatizo la Mwili Kuongezeka linatokea .


MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA

Ukiwa na uzito mkubwa madhara yafuatayo huweza kujitokeza;

1.Matitizo kwenye figo

2.Uwepo wa michirizi

3.Kupunguza hamu ya tendo la ndoa(Upungufu wa Nguvu za kiume)

4.Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji

5.Kuharibu ini

6.Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari,tatizo la presha na maumivu ya viungo.

7.Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo (Stroke)

8.Uweza kupelekea kupata kansa ya utumbo.

NJIA SAHIHI NA SALAMA YA KUBADILI MUONEKANO WAKO



TUPIGIE / TUMA UJUMBE WHATSAPP +255 742 216 182

AU

GUSA HAPA KUPATA MUONGOZO SAHIHI WA KUPUNGUZA UZITO





No comments

Powered by Blogger.